ongezea jina lako

UNESCO: Linda utamaduni,sio kaa jiwe

Katika nchi ya Kenya,kiwanda cha kaa jiwe kilichopendekezwa Lamu,kinatoa tishia la haraka kwa moja wapo wa eneo la asili na utamaduni kuu duniani na kupinga Maelewano ya Tabia Nchi ya Paris

Lakini UNESCO,mwili wa kimataifa unaohusika na ulinzi wa maeneo haya,ina nguvu ya kufanya zaidi!

Tunatoa wito kwa UNESCO Kamati ya Urithi wa Dunia ya UNESCO,ili kutarajia kwamba nchi ya Kenya itazingatia maelewano ya Paris kwa kusimamisha kiwanda kilichopendekezwa cha kaa jiwe ,huko Lamu na maendelezo mengine ya visukuku yanayoipa nguvu mabadiliko ya tabia nchi na kuharibu maeneo ya Urithi wa Dunia.

Zungumza na UNESCO

unaeza badili maandishi haya kuyafanya yawe yako binafsi

Habari !

Tuna maelezo yako ya kuwasiliana imehifadhiwa kutoka wakati uliopita,tafadhali bonyeza kipini hapo chini ili uendelee.

Sio ? Jiondoe

Find out more about campaigns, projects, and local groups where you can make a difference!

By taking this action, you are agreeing to our terms of service and privacy policy. You can unsubscribe at any time.